TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, June 3, 2013

MELI YA MIZIGO YA MV. ARAFAT YATEKETEA KWA MOTO KATIKA BANDARI YA TANGA


Meli ya mizigo ”Mv Arafat” inayofanya safari zake kupeleka shehena ya mizigo katika nchi jirani ya Kenya , Zanzibar na Mtwara Imeteketea kwa moto katika bandari ya Tanga kwa kile kinachodaiwa kuwa hitilafu ya umeme.

No comments:

Post a Comment