JK AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI  SINGAPORE

Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano
 wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5, 
2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore katika hoteli ya Swissotel 




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga 
picha ya kumbukumbu na Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo 
Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Kulia ni 
balozi wa Tanzania nchini Singapore Injinia John Kijazi
No comments:
Post a Comment