MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMUAGA ALBERT NGWEA.....SALAMU ZA MWISHO ZIMEANZA KUTOLEWA
Diamond  Platnumz akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Albert Mangwea  kutoa heshima zake za mwisho.Rais wa Chama cha Wanamuziki Nchini.

Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho

Umati
 wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha
 msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by. 

Baadhi ya wasanii wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.



No comments:
Post a Comment