PICHA ZA M 2 THE P AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI WA KUMUAGA ALBERT NGWEA MOROGORO MCHANA HUU
M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu
zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye
huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla
ya mauti kumkuta Ngwea....!!
Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa amefichwa
na kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa ametangulia Tanzania. Baadaye
Maggie alilazimika kumweleza ukweli......
No comments:
Post a Comment