SUNDERLAND KUJENGA AKADEMI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na 
Mwenyekiti na Mmiliki wa klabu ya Sunderland, Ellis Short na baadhi ya 
wanafunzi wanaosoma katika akademi ya Light, Sunderland jana mchana. 
Klabu hiyo kwa ushirikiano na Symbion Power Tanzania Limited imekubali 
kujenga akademi ya soka mjini Dar es Salaam. Chanzo: Freddy Maro


Kikwete akizungumza na Mmiliki wa Sunderland, Ellis Short katika Uwanja wa klabu hiyo, Stadium of light

No comments:
Post a Comment