"TUTAIFUTA  CHADEMA  ENDAPO  ITABAINIKA  KUWA   WALIRUSHA  BOMU  LA  ARUSHA  WENYEWE"....TENDWA
Msajili
 wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa,  amedai kuwa ikibainika kuwa CHADEMA ndio 
waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013 
atakifuta.
Tendwa  ameyasema   hayo alipokuwa akizungumza katika kipindi cha 
Hot Mix cha East Africa Television akijibu swali la mtangazaji wa 
kipindi Adrian Stepp  kuhusu  hatua  zitakazochukuliwa...
Alipoulizwa kama itathibitika kuwa CCM ndio 
walihusika kulipua bomu hilo amedai kuwa hawezi kukifuta kwakuwa kwa 
kufanya hivyo itakuwa ni kufanya mapinduzi ya kalamu.
Source :Jamiiforum
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment