MSHIRIKI WA  TANZANIA  ( FEZA  KESSY)   KATIKA  BIG BROTHER  YUKO  HATARINI  KUTOLEWA...KURA  ZAKO  ZINAHITAJIKA
 Kama hisia za wengi zilivyokuwa kuhusiana na Betty kulipiza kisasi, mambo yameenda hivyo.. 
 
 Betty ambaye ni Head of House wa Diamond house amemuokoa Bolt na kumuweka kikaangoni Feza..
 
 Katika Ruby house, Selly ambaye ni Head of house huko, naye ametumia 
ukuu wake wa kaya kumuokoa Biguesas na kumtia kitanzini Koketso.. 
 
 Wiki hii Feza, Dillish, Hakeem, LK4 na Koketso wako kikaangoni.. 
 
 Wakati wa kupiga kura kwa nguvu zote umewadia.. Kazi kwetu watanzania kumpigia kura wakwetu.. 
 
 Tuwahimize pia marafiki zetu Africa kumpigia kura Feza kwani kura zao ni muhimu sana.. -- Kila nchi inahesabiwa kama kura moja.
 
 Kupiga kura tembelea --> http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote/
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment