MTANZANIA MWENZETU ANATARAJIWA KUNYONGWA IJUMAA HII HUKO MISRI.....HII NI VIDEO YA TUKIO ZIMA
Asubuhi tuliripoti juu ya kuwepo kwa mtanzania mwenzetu anayetarajiwa kunyongwa ijumaa hii ( bado hatuna uhakika ).....
Tumefanikiwa  kuinasa  video  wakati  akikamatwa  na  madawa  ya  kulevya... 
Hizi ndo picha  za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa 
Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au 
nchini Misri. 
Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt 
wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa

 
Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae
  
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake
  

No comments:
Post a Comment