SUGU AGOMA KUOMBA RADHI BAADA YA KUDAI KUWA WAZIRI MKUU NI MPUMBAVU
Juzi, mbunge  wa  mbeya  mjini  alitoa  
tusi  zito  kwa  waziri  mkuu  wa  Tanzania  na  kudai  kuwa  Tanzania  
haijawahi  kuwa  na  waziri  mkuu  mpumbuvu  kama  yeye...
Kupitia  account  yake  ya facebook, 
Sugu, ambaye  ni  mbunge  wa  mbeya  amezidi  kusisitiza  kuwa  hawezi  
kuomba  msamaha wala  kuifuta  kauli  yake....
Hii   ni  post  yake  facebook:
"...naskia
 kuwa watu wanasema  kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri mkuu 
na amri yake kwa polisi kupiga wananchi?!...
Sina sababu ya kufuta wala 
kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the end...kwanza 'upumbavu' 
sio tusi,upumbavu kwa kiingereza ni stupidity-which is lack of knowledge
 and understanding...
So hata uwe na cheo gani kama ukishindwa kuwa na 
'understanding' juu ya madhara ya kauli zako kwa taifa then u r 
'stupid'...ambapo kwa kiswahili ndio 'mpumbavu'..."


No comments:
Post a Comment