BALOTELLI AIPELEKA ITALIA BRAZIL 2014
Wachezaji wa Italy wakishangilia (HM)
TIMU ya soka ya taifa ya Italia usiku
wa jana imetoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda 2-1 hivyo kujihakikishia
nafasi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil.
Timu ya Cesare Prandelli ilitulizwa na
bao la mapema Uwanja wa Juventus dakika ya 19 lililofungwa na mchezaji
mpya wa Aston Villa, Libo Kozak, lakini ikazinduka na kushinda shukrani
kwao wafungaji Giorgio Chiellini dakika ya 52 na Mario Balotelli kwa
penalti dakika ya 55.
Czech ilipata pigo dakika ya 89 baada ya Kolaf kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
Kikosi cha Italia kilikuwa: Buffon,
Bonucci, De Rossi, Chiellini, Maggio, Pirlo, Montolivo/Thiago Motta
dk86, Pasqual/Ogbonna dk78, Candreva, Balotelli, Giaccherini/Osvaldo
dk45.
Subs Not Used: Sirigu, Astori, Florenzi, Verratti, Gilardino, El Shaarawy, Insigne, Diamanti, Marchetti.
Booked: Balotelli.
Czech Republic: Cech, Gebre
Selassie/Rabusic dk77, Sivok, Suchy, Limbersky, Prochazka, Plasil,
Darida/Vanek dk55, Rosicky/Kolaf dk37, Jiracek na Kozak. Chanzo:
sportmail
No comments:
Post a Comment