UTURUKI YASAINI HATI YA USHIRIKIANO
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali, Said Mwema (kushoto) pamoja
na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Uturuki, Zeki
Catalakaya (katikati) wakisaini hati ya ushirikiano wa kuchunguza
matukio ya uhalifu kati ya Tanzania na Uturuki. Kulia ni Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi akilishuhudia
tukio hilolililofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es
Salaam
Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Uturuki, Zeki Catalakaya
(kulia) akimkabidhi ufunguo wa gari la kuchunguza matukio ya uhalifu,
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi.
Tukio hilo la makabidhiano lilifanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment