TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, August 27, 2013

Kanye, Kim na mtoto! 

kanye 8f5a3
Miami, Marekani. Katika kile kinachoonekana kumpenda binti yao Kim Kardashianna Kanye West, wameamua kumuweka mbali na vyombo vya habari. (HM)
Kwa kawaida wawili hawa hasa Kim wanapenda sana kuonekana katika vyombo vya habari, lakini safari hii wamekuwa makini zaidi na kusema kuwa watamuweka binti yao mbali na vyombo vya habari kwa muda.
Kim tangu ajifungue Juni 15, amekuwa kimya sana kuongea ongea kwenye majarida na mitandao mbalimbali ukiwa ni mpango wa kumuweka binti yao mbali na mapaparazi.
Kanye na Kim wamekataa kiasi cha Dola za Kimarekani milioni tatu walizopewa kama ofa na Jarida la Autralian Magazine kwa ajili ya kupata picha ya mtoto wao. Chanzo: mwananchi

No comments:

Post a Comment