NAFASI ZA MASOMO YA AFYA:
BESHA HEALTH
TRAINING INSTITUTE
USAJILI NACTE:REG/HAS/118P
MJINI TANGA.
NAFASI
ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA:
1.
CLINICAL MEDICINE
(a)CLINICAL ASSISTANT -(CHETI)
(PRE-SERVICE)(b) CLINICAL OFFICER- (DIPLOMA)(PRE-SERVICE AND IN-SERVICE)
2.
HEALTH LABORATORY SCIENCES
·
LABORATORY ASSISTANT (CHETI)
SIFA ZA MWOMBAJI:
(a)CHETI:awe
amemaliza kidato cha nne (IV)na
mwenye ufaulu wa angalau “D” tatu za
masomo ya sayansi(Physics’Chemistry’ na Biology)
(b) DIPLOMA:awe amemaliza kidato cha
Nne (IV)na mwenye ufaulu angalau
wa Kiwango cha “C “mbili
Chemistry na Biology “ D” Katika somo la Physics.
BESHA;Health
Training Institute.
·
Ni Chuo kilichopo jijini Tanga
·
Chenye wakufunzi mabingwa waliobobea na wazoefu katika fani mbalimbali
·
Chenye maabara za uhakika (teaching laboratory
na skills laboratory) na maktaba iliyosheheni vitabu maridhawa.
·
Kina hospital inayotoa huduma ya afya ya uhakika
katika kiwango cha ubingwa kwa ajili ya kuwapatia wanafunzi mazoezi ya vitendo
ya kutosha.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI 31.08.2013
WAHI MAPEMA KWANI NAFASI
ZIMEBAKI CHACHE!!
ILI KUJIUNGA,FIKA CHUONI AU PATA MAELEZO kupitia tovuti ya chuo www.beshatraininginstitute.com
MAELEZO
ZAIDI:Piga :0784 -527574 ,0784
-473274,0719 150371
No comments:
Post a Comment