TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, August 14, 2013

URUGUAY YAIFUNGA JAPAN 4-2

uruguay-soccer-team-13 2d928
Timu ya taifa ya Uruguay Imeifunga timu ya taifa ya Japan jumla ya magoli 4-2 katika mchezo wa kirafiki. wafungaji wa magoli hayo kwa upande wa Uruguay ni Diego Forlan aliyefunga goli la kwanza dakika ya 27 tu ya mchezo, Diego Forlan tena akaipatia timu yake goli la pili katika dakika ya 29, alikuwa Luis Suarez aliyeipa timu yake goli la tatu katika dakika ya 53 kabla ya Shinji Kagawa kufunga gol;i la kufutia machozi kunako dakika ya 55.Alvaro Gonzalez ndiye aliyefunga goli la nne na la mwisho kwa upande wa Uruguay dakika ya 58 na Keisuke Honda alifanikiwa kuifungia timu yake goli la pili katika dakika ya 72 kupelekea mchezo huo kuisha kwa ushindi wa 4-2 kwa upande wa Uruguay
P.T


No comments:

Post a Comment