MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHIWA KATIBA

Makamu wa
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa 
Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi 
Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi 
wa Shirikisho, wakati Uongozi huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini 
Dar es Salam, leo Agosti 13, 2013 kwa ajili ya mazungumzo na kumkabidhi 
Katiba ya Shirikisho hilo. Picha na OMR
 M.M
No comments:
Post a Comment