MAN UNITED WAJIPANGA UPYA KWA FABREGAS

P.T
United ineokana bado kuwa na nia na 
Fabregas licha ya mchezaji huyo kusema wiki iliyopita kwamba anataka 
kubaki katika klabu yake ya sasa. "Tunaheshimu uamuzi wa Cesc,"ilisema 
United.
Jaribio la mwisho: Manchester United 
itapeleka ofa ya mwisho kwa ajili ya Cesc Fabregas licha ya yeye 
mwenyewe kusema anataka kubaki.(BIN ZUBEIRY)
No comments:
Post a Comment