RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIJANA WALIOACHA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA IKULU
Kijana
Jimmy Changchuu alieachana na matumizi ya dawa za kulevya akimkabidhi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete picha aliyochora yeye na kijana mwenzake
wakati vijana hao walimpomtembelea Rais Ikulu jijini Dar es Salaam
leo.Vijana hao wanalelewa katika kituo cha Pilli Missanah Foundation
kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Vijana
walioachana na Matumizi ya dawa za kulevya kutoka katika kituo cha Pilli
Missanah Foundation kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam wakiwa
katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini
Dar es Salaam leo.Kulia pembeni ya Rais ni Mwanzilish Kituo hicho
Bi.Pilli Missanah na watatu kushoto ni mfadhili mkuu wa kituo hicho
Bwana Zacharia Hans Poppe (picha na Freddy Maro)
M.M
No comments:
Post a Comment