BALOTELLI NA MESSI WAKUTANA NA PAPA

Golikipa 
wa Italia Buffon na Lionel Messi wakiwa na Papa Francis Vatican leo 
wakati wachezaji wa timu ya taifa ya Italia na Argentina ambao 
wanajiandaa na mchezo wa kirafiki baina yao walipoenda kumtembelea 
kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani.
P.T

Papa 
akiwa na Kichaa Mario Balotelli wakitaniana wakati wachezaji mbalimbali 
walipoenda kumtembelea mkuu huyo wa kanisa katoliki duniani

SOURCE: shaffihdauda.com
No comments:
Post a Comment