TBL WAMKABIDHI JK JEZI YA FC BARCELON

Mkurugenzi
 wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas 
akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi iliyosainiwa na wachezaji wote wa 
timu ya FC Barcelona Ikulu jijini Dar es salaam ikiwa ni kutambua 
mchango wake katika kuendeleza soka na  ishara ya  ushirikiano wa 
kihistoria kati ya Castle Lager na FC Barcelona uliosainiwa hivi 
karibuni huko Camp Nou Hispania. Wanaotazama ni Meneja Mauzo wa TBL 
Kanda ya Kusini James Bokella (wa kwanza kulia) na Meneja Masoko wa TBL 
Bi. Natalia Celani (wa pili kulia). Na kushoto ni Meneja wa Castle 
Lager, Kabula Nshimo na Aggrey Marealle, Mkurugenzi wa Executive 
Solutions washauri wa mahusiano wa TBL.
No comments:
Post a Comment