MMAREKANI PHIL WILLIAMS kupambana na CHEKA IJUMAA 
            
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini 
Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia Phil Williams wa marekani
 baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka 
utakaofanyika August 30 siku ya ijumaa hii katika ukumbi wa Diamon 
Jubilee jijini Dar es salaam. (HM)
         
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa
 katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay 
Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 
'Super D wengine ni wadau waliokuja kulaki uwanja wa ndege.
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBUChanzo: www.superdboxingcoach.blogspot.com
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment