TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, August 13, 2013

ARSENAL WAMUUZA CHAMAKH KWA CRYSTAL PALACE

chamakh-4361-988238 478x359 aad5e
Klabu ya Crystal Palace imetangaza rasmi kumsajili mshambuliaji wa kutoka Morocco Marouane Chamakh kwa mkataba wa mwkaa mmoja kutoka klabu ya Arsenal. (HM)

Mshambuliaji huyo amejiunga na Eagles baada ya kukamilisha vipimo vya afya na amepewa jezi namba 29.
Chamakh, 29, alikuja kwenye ligi kuu ya England mnamo June 2010, baada ya kujiunga na Arsenal bure akitokea Bordeaux, ambapo alicheza michezo zaidi ya mechi 250, akifunga mabao 61.
Akiwa na Arsenal alifunga mabao 14 kabla ya kwenda kujiunga na West Ham kwa mkopo mwishoni mwa msimu wa 2012/13. Chanzo: shaffihdauda

No comments:

Post a Comment