WAZIRI MEMBE AZUNGUMZIA KUHUSU URAIA WA NCHI MBILI
Serikali ya Tanzania iko mbioni
kuwaruhusu wananchi wake kuwa na uraia wa nchi mbili baada ya kubaini
kuwa idadi kubwa ya raia walioko nchi za ng'ambo wanakosa fursa za
kushiriki kwenye shughuli za kimaendeleo.
Serikali ya Tanzania iko mbioni
kuwaruhusu wananchi wake kuwa na uraia wa nchi mbili baada ya kubaini
kuwa idadi kubwa ya raia walioko nchi za ng'ambo wanakosa fursa za
kushiriki kwenye shughuli za kimaendeleo.(P.T)
Katika kufanikisha shabaha yake hiyo,
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe
amepeleka pendekezo rasmi kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, akitaka
akitaka suala la uraia wa nchi mbili kitambulike kwenye katiba ijayo.
Mwenzetu George Njogopa alikutana na Waziri Membe jijini Dar es saalam
na kumuuliza sababu za kupekeka mapendekezo hayo katika tume ya
mabadiliko ya katiba.
No comments:
Post a Comment