WENGER AMSAJILI FLAMINI KWA MKATABA WA MIAKA MITATU

Arsene 
Wenger amefanya usajili wa pili katika dirisha hili la usajili 
linaloelekea mwishoni kwa kumsajili kiungo wa zamani wa timu Mathieu 
Flamini kwa uhamisho wa bure kutoka AC Milan. (HM)
            
Kiungo huyo ambaye aliondoka Gunners 
mwaka 2008 kujiunga na AC Milan, amesaini mkataba wa miaka mitatu wenye 
thamani ya £40,000 kwa wiki.
Flamini, 29, ni mchezaji wa pili kusajiliwa baada ya mshambuliaji kinda wa kifaransa Yaya Sanogo, ambaye amejiunga na Arenal akitokea Auxerre bure.
Flamini amekuwa akifanya mazoezi na Arsenal wakati wote wa pre season baada ya kuachwa na AC Milan mwishoni mwa msimu uliopita. Chanzo: Sportmail
                    
No comments:
Post a Comment