TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, August 25, 2013

DILISH AIBUKA MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2013 

DILISSSS_3ada7.jpg
Hatimaye mwakilishi kutoka Namibia Dilish ameibuka kuwa mshindi wa Big Brother Africa 2013......Hongera sana Dilish
P.T

Mshiriki kutoka Naibia "Dillish" ndio mshindi wa Big Brother Africa (the chase) alieondoka na dola 300,000 katika fainali zilizofanyika usiku huu (August 25th).
Dillish mwenye miaka 24, hajawahi kuwa head of the house hata siku moja katika siku zote 91 alizokuwa ndani ya jumba, alishawahi kuwa nominated mara 5 na mara zote alibaki kwa kura za Africa, na hajawahi kuwa na mahusiano na mshiriki yoyote.

Dillish amekuwa ni mwanamke wa pili kushinda BBA tangu ilivyoanzishwa, baada ya Cherise kutoka Zambia kushinda kwenye BBA season 7 zilizopita
katka top 5 waliobaki, alianza kutoka Beverly (Nigeria), akafatia Melvin (Nigeria) na watatu kutoka ni Elikem (Ghana) wa nne ni Cleo (Zambia) na hatimae Dillish kuwa mshindi wa BBA The Chase 2013

No comments:

Post a Comment