HABARI GROUP WAPELEKA MISAADA VITUO VYA WATOTO YATIMA
Diwani wa
Viti Maalumu na Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditioni, Aisha
Sururu kulia akiwakabidhi sehemu ya msaada alioutoa kwa ajili ya
kuchangia watoto yatima kwa wanachama wa kikundi cha Habari Group Rabia
Bakari kushoto na Asha Bani kwa ajili ya kupeleaka kwa watoto yatima
katika vituo mbalimbali Misaada mingine ilitolewa na Naibu Waziri wa
Mawasiliano na Teknolojia, January Makamba,Mmiliki wa Maduka ya Silva
Botique, Madam Nora, Katibu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa
kiislam Sheikh Khamisi Mataka, na Mkurugenzi wa Kampuni ya QUALITY
Printers And Stationers Amani Sokko PIcha na BLOG YA SUPER D
No comments:
Post a Comment