BARAFU LA MLIMA KILIMANJARO LAKAUKA
Taswira
ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu
yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni
kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uhalibifu wa Mazingira
uliokithiri. Picha na www.sufianimafoto.com
No comments:
Post a Comment