TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, November 1, 2012

MHANDO ATIMULIWA RASMI TANESCO
































Hatimaye Serikali imemng'oa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuanzia juzi jioni. Uamuzi wa kumuachisha kazi Mhando ulifika katika kikao cha bodi cha wakurugenzi wa shirika hilo , baada ya uchunguzi uliofanywa na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kubaini kwamba alikiuka taratibu za shirika hilo na kujihusisha na matumizi mabaya ya madaraka. 

No comments:

Post a Comment