JK: AMPA POLE KATIBU WA MUFT ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa Mufti wa 
Zanzibar Sheikh Fadhili Soraga ambaye amelazwa katika chumba cha dharura
 katika Hospitali ya Taifa ya Muhiombili kufuatia majeraha ya usoni na 
kifuani yaliyotokana na  kurushiwa Tindikali na watu wasiojulikana 
wakati akifanya mazoezi katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe mjini Unguja 
juzi. Rais ambaye amerejea  leo Jumanne Novemba 6, 2012 akitokea katika 
ziara ya kikazi ya  takriban juma moja katika mikoa ya Kilimanjaro, 
Arusha, Manyara na Singida, amemtakia Sheikh Soraga nafuu ya haraka.
PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment