TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, November 20, 2012

FAINALI ZA MWANASOKA BORA WA MWAKA KUFANYIKA DESEMBER 30
Fainali ya tuzo za mwanasoka bora wa mwaka zinazotolewa na Kampuni ya Wazalendo Bright Media zinatarajia kufanyika Desemba 30 mwaka huu, ambapo mchakato wa zoezi hilo ulianza toka Agost mosi mwaka huu kwa wanamichezo kupigiwa kura na mashabiki kupitia mitandao mbalimbali pamoja na simu za mkononi kwa namba maalum.

No comments:

Post a Comment