VODACOM YAICHANGIA HOSPITAL YA CCBRT SH. BILLION NANE
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akionesha cheki ya Shilingi bilioni Nane 
iliyotolewa na Kampuni ya VODACOM kwa ajili ya ujenzi wa hospitali 
maalumu itakayo shughulika kutibu wanawake walioathirika na Ugonjwa wa 
Fistula pamoja na ulemavu mwingine.
Wengine katika picha kutoka kushoto 
ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe.Janet Mbene,Mkurugenzi Mtendaji VODACOM 
Tanzania Bwana Rene Meza,Ofisa mtendaji Mkuu Hospitali ya CCBRT Bwana 
Telemans  Erwin na kulia ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said 
Meck Sadik

No comments:
Post a Comment