TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, November 19, 2012

KERI HILSON KUTUA DAR MWEZI UJAO KWA SHOW KABAMBE!

Kwa mara ya kwanza mwanadada anayetikisa anga za muziki duniani Keri Hilson anatarajia kutua nchini Kenya na Tanzania kwa kutoa show babu kubwa ......!  mko tayari kumshuhudia hit-maker wa Knock You Down mrembo huyo? Kama bado basi mashabiki wake anzeni kuuchanga mdogo mdogo sababu the diva is dropping to the land of Kilimanjaro next month!! We ain’t tripping at all sababu Keri amethibitisha mwenyewe jana habari hizi kwenye ukurasa wake wa Twitter:

No comments:

Post a Comment