TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, November 5, 2012

BAADA YA TIMU YA SIMBA KUTOFANYA VIZURI KWA BAADHI YA MECHI ZAKE, MASHABIKI WA TIMU HIYO WAWAJIA JUU VIONGOZI NA WACHEZAJI
Mashabiki wa Simba wakiwa na mabango yao eneo la Kariakoo mtaa wa Msimbazi Makao makuu ya Klabu hiyo
Kikosi cha timu ya Smba





















Sare za mara kwa mara na kipigo walichokipata magoli 2-0 katika mechi yao ya ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa juzi kimezua balaa baada ya mashabiki wa timu hiyo kuvamia na mabango kwenye makao makuu ya klabu hiyo wakitaka kung'olea kwa baadhi ya wachezaji na viongozi wao. 
Viongozi waliodaiwa watolewe ni Mwenyekiti wa timu hiyo Ismail Aden Rage na Makamu wake Godfrey Nyange Kaburu na nahodha wa timu ambaye ni kipa Juma Kaseja wakidai kwa sasa wapumnzishwe ili kuinusuru simba.

No comments:

Post a Comment