TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, November 8, 2012

NANI KUONDOKA NA KITITA CHA MILLION 50 KESHO!

Madam Lita cheef judge wa shindano hilo la BSS.

Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu katika kumjua mshindi wa shindano la BSS la mwaka 2012 liko ukingoni kwani kesho washiriki 5 watapanda jukwaani kuonesha vipaji vyao na hatimaye mmoja atajinyakulia kitita cha Sh. million 50.
Washiriki hao ni Walter , Wababa, Salma, Nsami na Nshoma..tukutane Diamond Jubilee kesho.

No comments:

Post a Comment