TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, November 16, 2012

THE GUARDIAN YAMPONGEZA MFANYAKAZI BORA WA MWEZI WA KUMI
Kushoto ni Richard Kahawa ni Afisa Masoko akikabidhiwa Certificate yake na Meneja Utawala Joachim David
 Kampuni ya The Guardian inautaratibu wa kupongeza mfanyakazi bora kwa mwezi kwa wafanyakazi wake wote, Hivyo kila mwezi kwa kupitia wakuu wa Idara na Bodi nzima ya Kampuni inachagua mfanyakazi bora kwa kiwango cha ufanyaji kazi wake. Hiyo ni kuwapa wafanyakazi moyo wa kufanya kazi zao kwa kiwango kizuri zaidi.Pongezi hizo zinaambana na certificate pamoja na Kiwango cha Fedha tasilimu Sh.500,000.

No comments:

Post a Comment