DKT BILAL AZINDUA MKOA WA KATAVI
Makamu wa Rais wa 
Jamhuri ya Muungao ya Tanzania Dkt Mohamed Gharib Bilal na mkuu wa mkoa 
wa Katavi Dkt. Rajab Rutengwe wakizindua rasmi mkowa wa Katavi kwa 
kuweka jiwe la msingi katika kilima cha kijiji cha Kabungu kwa ajili ya 
kujenga kituo cha kumbukumbu ya historia ya mkoa wa Katavi, Kijiji Cha 
Kabungu ndipo palipozaliwa Wilaya ya Mpanda Mwaka 1947 na Boma la 
mtawala wa kwanza wa kikoloni Mpanda lilijengwa hapo, baada ya uwekaji 
wa jiwe la msingi kijijini Kabungu, Makamu wa Rais alirejea mjini mpanda
 katika viwanja vya Kashaulili ambapo kumefanyika shughuli mbalimbali 
za  uzinduzi rasmi wa mkoa huo na hotuba mbalimbali zikiendana na 
sherehe za  ngoma za makabila mbalimbali  ya asili ya mkoa wa Katavi


No comments:
Post a Comment