TUSKER LITE YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM
Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries imezindua rasmi kinywaji kipya cha
 tusker lite usiku wa kuamkia jana katika usiku wa Marketers Night 
Jijini Dar-es-Salaam.  
Hivyo wadau wa kinywaji hicho sasa full kujiachia kipo kinapatikana bila matatizo 




No comments:
Post a Comment