CHEREKO : USIKU WA KIPENZI CHETU DOROLOSA JOHN TWITU
Jionee mambo yalivyokuwa jamani eeeh we acha tuuuuu!
| Bi. Dorolosa akiwa na mpambe wake wametulia |
| Bi. Dorolosa akiwa na mume wake mtarajiwa pamoja na wapambe wao |
| Mtoto wa mujini Frolah katika pozi la ukweli |
| Mdada ametulia hapo |
| Ukitaka muite Mary wa ukweli amependaje angalia masikioni na nywele zake , asante dada! |
| Wadau wakipata msosi |
| Maakuli kama kawa, Msosi mtamu balaa |
| Mtumbuizaji huyo a.k.a Kingwendu kaka anachekesha huyo jamani acha tu! |
| Mheshimiwa huyo jamani! |
| Wadau wakiserebuka hapo wote vitambaa vyeupe hewani |
| Wamependezaje sasa ....acha tu |
| Wenye ulemavu nao walitoa show kali |
| Kicheko hicho dada .....utakitaka hasa usiwe na pengo |
| Mhhhh mnateta nini jamani! |
| Acha we mtu na shost wake kama una shost kajinyonge |
| Tuite mapacha watatu ama ? ila mmependeza |
| Asante Semeni na Dorolosa |
| Nice umependeza |
| Zawadi hiyo jamani! |
| MC chuma lete maneno |
| Mtoto umetulia |
| Kwaito hilo mwanangu |
| Masudi ukipenda muite Mzee wa Povu |
| Hapo sasa sema wewe mie maneno yameisha , Asante dada ! |
No comments:
Post a Comment