AY ANYAKUA TUZO ZA CHANNEL O MUSIC VIDEO
AY
 ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya 
Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST
 GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I
 DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi 
Kenya wanakwenda kwa jina la Sauti Sol.
Hongera sana AY na uzidi kusonga mbele kwa juhudi zako....Tunakutakia mafanikio mema.

No comments:
Post a Comment