MAWAZIRI WA UTALII JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAZINDUA JARIDA LA KWENYE NDEGE
 Waziri
 wa Utalii wa Kenya Mh. Danson Mwazo katikati  ambaye pia ni mwenyekiti 
wa mawaziri wa utalii katika nchi za Afrika Mashariki na  Waziri wa 
Maliasili na Utalii wa Tanzania Balozi Khamis Kagasheki kulia, 
wakionyesha jarida la Round About East Africa la  kwenye ndege. 
linaloelezea mambo mbalimbali ya utalii  na pia kutangaza utalii wa nchi
 za Afrika Mashariki, mara baada ya kulizindua rasmi katika hafla 
iliyofanyika kwenye maonyesho ya dunia ya Utalii World Travel Market 
(WTM) Excel Jijini London nchini Uingereza, kulia ni Waziri wa Utalii wa
  Utalii wa Uganda pamoja na wawakilishi wa mawaziri wa utalii wa Rwanda
 na Burundi 
Waziri
 wa Utalii Kenya Mh. Danson Mwazo akizunguza katika hafla hiyo, katikati
 ni Mh. Jesca Eriyo Naibu Katibu Mkuu wa  jumuiya  Afrika ya Mashariki  
na Balozi Khamis Kagasheki Waziri wa Maliasili nchini Tanzania.


No comments:
Post a Comment