DK.BILAL ATOA MHADHARA CHUO KIKUU CHA KILIMO SUA
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akizungumza wakati wa Mhadhara wa 13 wa 
Kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika Novemba 16, 2012 kwenye 
Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya 
Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.


No comments:
Post a Comment