TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, October 31, 2012

AZZAN ZUNGU MATATANI KWARUSHWA
Mwenyekiti wa Bunge katikati Bw.Mussa Azzan Zungu




























Sakata la uchaguzi wa wazazi CCM, limefanya Mwenyekiti wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Mussa Azzan Zungu pamoja na makamanda wengine wa CCM juzi walikamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Dodoma kwa tuhuma za rushwa majira ya saa 4:30 usiku wakidaiwa kujaribu kutoa rushwa ya Sh.100,000.

No comments:

Post a Comment