TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, October 30, 2012

SERIKALI KUZIJENGEA UWEZO WIZARA KATIKA UBIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (Mb) akieleza dhamira ya Serikali ya kuzijengea uwezo Wizara na Idara zake zinazohusika moja kwa moja na utekelezaji wa Sera ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) wakati alipofungua mafunzo ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi leo Mjini, Morogoro, Wa kwanza Kulia ni Mtaalamu wa masuala ya PPP kutoka Taasisi ya IP3 nchini Marekani, Bw. Jackues Cook na wapili ni Kamishina wa PPP- Wizara ya Fedha Bw. Frank Mhilu na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. John Mboya.

No comments:

Post a Comment