TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, October 12, 2012

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI USIKU WA KUAMKIA LEO

























Habari za uhakika zinadai kwamba kamanda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Liberatus Barlow ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo eneo la Kitangiri jijini hum.
Aidha Mkuu wa Polisi IGP Saidi Mwema amelidhibitisha hilo na tayari Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai wa Jeshi hilo (DCI) Robert Manumba akiwa na kikosi cha makachero wameeleka Mwanza kuongeza nguvu katika kuimarisha upelelezi ambao umeshaanza.

No comments:

Post a Comment