TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, October 19, 2012

MAGARI YA SERIKALI YANAYOTUMIA NAMBA BINAFSI KUSAKWA
Waziri wa ujenzi Dkt. John Magufuli akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na usajiri wa magari ya umma























Waziri Magufuli akiteta jambo na Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani James Mpinga

























Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (waliokaa mbele wapili kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kusisitiza  utaratibu wa usajili wa magari
 ya Umma unafuatwa na kutafanyika zoezi rasmi la kurejesha usajili wa magari yote.Serikali imetoa muda hadi kufikia Novemba 15,2012 magari ya Umma yaliyo na namba  za kiraia, yarejeshwe namba stahiki za magari ya Umma .  Baada ya hapo Operesheni hiyo iitakamata magari, pikipiki, bajaj na mitambo ya umma,Vilevle kutakuwa na aina ya namba za usajili zitakazotumika kama ST, PT, MT,JW, DFP, CW, SM na ,SU.Hadi sasa serikali imesajili vyombo vya moto,123,431 yakiwemo magari,,pikipiki,bajaj na mitambo ya umma (pichani anaefuatia mwenye sare za polisi) ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani katika jeshi la Polisi  nchini Kamanda James Mpinga). (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

No comments:

Post a Comment