TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, October 24, 2012

HATIMAYE H.BABA AMVISHA PETE YA UCHUMBA FROLA MVUNGI
























ULE uchumba uliodumu kwa muda mrefu kati ya mastaa filamu na muziki wa Bongo Fleva nchini, Hamis Baba ‘H. Baba’ na Flora Mvungi umefikia pazuri baada ya H – Baba kumtolea mahari na kumvalisha pete ya uchumba. H-Baba akimvisha pete ya uchumba, Flora Mvungi. Tukio hilo lililokuwa na mvuto wa aina yake lilichukua nafasi juzi Jumamosi, katika Ukumbi wa The Atriums Hotel, Sinza – Afrika Sana, Dar na kuhudhuriwa na ndugu wa pande zote mbili. Kinyume na ilivyozoeleka, zoezi la kutoa mahari kufanyika nyumbani, kwa wawili hawa ilikuwa tofauti kwani kila kitu kilimalizikia ukumbini humo. 
Kila la heri tunawatikia ili muweze kutimiza ndoto yenu.

No comments:

Post a Comment