TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, October 16, 2012

DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TAKUKURU



















Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, nje ya Ukumbi wa Mlimani City mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru

No comments:

Post a Comment