TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Saturday, October 13, 2012

VURUGU ZA MBAGALA : UHARIBIFU ULIOFANYWA NI HUU HAPA




























Vurugu kubwa zilizuka jana eneo la Mbagala Jijini Dar es Salaam, baadhi ya kundi la Waislamu kuvamia na kuharibu makanisa magari na nyumba za watu baada ya watoto wawili 2 kubishana katika visa vya vitabu vya dini na mtoto mmoja ambaye ni mkristo kukojolea kitabu cha quran.

No comments:

Post a Comment