TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, October 9, 2012

PATA MUONEKANO WA MATUKIO YA FIESTA KWA BAADHI - KWA HAWA VIOO VYA JAMII

Hivi ni vituko vilivyoshamili katika Tamasha la Fiesta 2012 kwa vioo vya jamii , Katika mazingira ya kawaida je huwezi cheza dance pasipo kuvua nguo? Kweli hii ni aibu kubwa kwa jamii. Tusemeje kwa nyio mnaojiita vioo vya jamii ambapo tunawategemea kuwa mnaweza kuwakilisha nchi vizuri kumbe hampo hivyo. Hayo si matarajio yetu sisi watanzania kwa hayo mnaotuonesha. hizi picha ni baadhi tu wapo na wasanii wengine mnatabia za kukaa uchi majukwaani .













No comments:

Post a Comment