Dereva wa Bodaboda na abiria wake wakiwa wamepoteza maisha baada ya kupata ajali barabara Bagamoyo eneo la Makongo , watu hao hawakuweza kufahamika majina
 yao kwa haraka, ajali hiyo imetokea  baada gari aina ya Starlet yenye namba za 
usajiri T 838 BKB kugongana na pikipiki hiyo  yenye namba za 
usajiri T 491 BFY, na kufariki dunia papo hapo. Ajali hiyo ilitokea jana
 asubuhi, Pichani ni raia akijaribu kutambua mwili wa marehemu katika 
ajali hiyo. 

No comments:
Post a Comment