TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, October 23, 2012

DODOMA HAPATOSHI : UCHAGUZI WA UVCCM LEO






















Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Dodoma kuhusu maandalizi ya Mkutano Mkuu wa UVCCM. Kulia ni Cosmas Hinju, Mwenyekiti wa Kamati ya habari na mapambo wa maandalizi ya Mkutano huo, 
Kivumbi cha uchaguzi ndani ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi unafanyika leo mjini Dodoma na wagombea wote huku wakiwa matumbo moto kutokana na mpambano mkali uliopo wa uchaguzi huo.

No comments:

Post a Comment